Na Mwandishi wetu NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Ali Khamisi amesema kuna umuhimu mkubwa kwa watanzania kujitokeza kushiriki zoezi la Sensa ya w…
Joyce Joliga,Songea Wazazi wenye watoto wenye ulemavu ambao wanaishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi mkoani Ruvuma wameshauriwa kuwapeleka kupata matibabu ikiwemo dawa za kufubaza virusi vya u…
Njombe George Lupindu (19) mkazi wa kijiji cha Ngalawale wilaya ya Ludewa mkoani Njombe,amehukumiwa na mahakama ya wilaya mkoani hapo kutumikia kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumbaka mtoto…
Na Amiri Kilagalila,Njombe Mahakama ya wilaya ya Ludewa iliyopo mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Elias Mgaya (20) mkazi wa kijiji cha Madilu wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa kos…
Na Amiri Kilagalila,Njombe Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Njombe,imefanikiwa kutekeleza agizo la Chama ngazi ya taifa kwa kujenga nyumba za watumishi ili kupunguza changamoto…
Na Ahmed Sagaff - MAELEZO Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amewataka manaibu na mawaziri wa wizara zote nchini kuacha matumizi ya wasaidizi binafsi kwa ajili ya kuwafanyia kazi katika ofisi za umm…
Na Ezekiel Mtonyole – Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Shirika lisilo la kiserikali la Project Concern International (PCI) imezindua mwongozo wa u…
Na Ezekiel Mtonyole – Dodoma. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo amezindua eneo la burudani na ukumbi wa kisasa wa burudani wa Jeshi la kujenga Taifa JKT lililopo eneo la M…
MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani amewaagiza wasimamizi wa miradi ya ujenzi miundombinu inayotekelezwa chini ya Mpango wa Maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO …
Na Ezekiel Mtonyole – Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Antony Sanga amesema Serikali inatarajia kutekeleza miradi 218 ya maji katika halmashauri mbalimbali hapa nchini kupitia fedha za U…
Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa, ameyataja maeneo yanayotumika kama biashara ya madanguro ambapo ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha kwamba biashara hiyo kwenye maeneo hayo i…
Mwanaume anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolirumi…
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Rubirya, amewataka wadau wa usafirishaji mkoani humo kuzilinda barabara nchini kwa kubeba uzito stahiki kwenye magari yao ili waweze kuwa wasafirishaji wenye …
Na Amiri Kilagalila,Njombe Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Njombe Scolastika Kevela amesema Rais Samia Suluhu Hassan anatosha kusimama katika nafasi ya kugombea…
MITANDAO YA KIJAMII