TANGAZA NASI

header ads

Mwanaume afungua kesi baada ya kupata ujumbe ‘Babe’’ kwenye Whatsapp




 Mwanaume anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolirumia katika akaunti yake ya WhatsApp.

Mwanume huyu kwa sasa anashitaki kwa jaji kwasababu anasema yeye ndiye aliyemnunulia mke wake gauni la harusi na hivyo mwanamke mwanaume mwingine hawezi kumuita baby.

Jamiu anakana mashitaka kwamba alivuruga amani katika ndoa baina ya mwanamke huyo na mume wake Akintunde Adegbesan tarehe 19 Septemba.



Mwanamke mwingine alipokea ujumbe kwenye kikundi cha WhatsApp ulioandikwa 'Good Morning Babe' kutoka kwa nambari za simu 08059491562 na 08138868837, pia alishitaki.

Tukio hilo limekuwa likijadiliwa kwenye mtandao, huku watu mbali mbali wakitoa maoni mbali mbali kuhusu tukio hilo.


Post a Comment

0 Comments