TANGAZA NASI

header ads

Hayati Magufuli ameacha watoto 7 wajukuu 10- Profesa Kabudi



 "1989 Hayati Dkt. Magufuli, alifunga ndoa takatifu na Mama Janeth Mathias Mbizo, Hayati Magufuli ameacha mjane na watoto saba akiwemo Suzana, Edna, Mbalu, Jesca, Joseph, Yordan na Jeremiah, pamoja na wajukuu 10" - Profesa Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje

Post a Comment

0 Comments