Na Amiri Kilagalila,Njombe
Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe (NPC) bwana,Nickson Mahundi akisaini kitabu cha maombelezo ya kifo cha Hayati John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.
# R.I.P Magufuli
Bwana Mahundi amekuwa sehemu ya waombolezaji katika kitabu hicho cha kumbu kumbu katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe.
0 Comments