TANGAZA NASI

header ads

Morrison ashinda kesi yake dhidi ya Yanga

 

TFF imesema Morrison ameshinda kesi yake dhidi ya Yanga na ataendelea kuwa mchezaji halali wa Simba baada ya mapungufu kukutwa kwenye mkataba baina ya Yanga na Morrison

“Kuna mapungufu kwenye ukurasa wa kutia sahihi baina ya Morrison na Yanga, umekatwa lakini hakuna sahihi za watu wawili na mkataba lazima wasaini wote ni baadhi ya vitu tumeona vina mapungufu” - Elias Mwanjala

"Mapungufu makubwa ambayo tumeyaona ni tarehe ya mkataba, tarehe ya mkataba inaonesha ilisainiwa Machi 20, 2020 wakati tarehe sahihi inaonesha Julai 17, 2020 pia ukurasa wa kutia sahihi umekatwa"- Elias Mwanjala, Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Wachezaji

"Kesi imemalizika lakini kamati imependekeza apelekwe Kamati ya Maadili kwa sababu amefanya kosa la kusaini mkataba na timu nyingine wakati sisi bado hatujatoa maamuzi"- Elias Mwanjala, Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Wachezaji

Mshambuliaji

ameshinda kesi dhidi ya

na kuamuliwa kurejesha fedha alizopewa na klabu hiyo jumla ya Dola 25,000/-. Mwenyekiti wa kamati Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF Elias Mwanjala amesema.

Post a Comment

0 Comments