TANGAZA NASI

header ads

Mgombea Ubunge jimbo la Njombe Mjini kupitia CCM awekewa pingamizi

 



 







 "Nimemuwekea Pingamizi Deodatus Mwanyika kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million."  Ameandika Emmanuel Masonga mgombea wa ubunge jimbo la Njombe mjini kupitia

@ChademaTz  kwenye ukurasa wake wa mtandao wa twita

Post a Comment

0 Comments