TANGAZA NASI

header ads

Jimbo la Ludewa mkoani Njombe mgombea wa Ubunge (CCM) ateuliwa rasmi na tume

 





Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Ludewa mkoani Njombe, Sunday N.Deogratius kwa mamlaka aliyopewa na Tume ya Taifa ya uchaguzi.Ametangaza kuteuliwa bila kupingwa na kuwa mbunge wa Jimbo la Ludewa Bw,Kamonga Joseph Zacharius.

#NjombePressUpdates

Post a Comment

0 Comments