TANGAZA NASI

header ads

Bernad Membe achukua fomu ya kuwania Urais

 

Waziri wa zamani wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, ambaye ni Mgombea wa kiti cha Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Bernad Membe, akiongozana na Mgombea Mwenza Profesa Omary Fakiyi Hamad, Leo wamejitokeza katika Ofisi za tume ya uchaguzi Njedengwa jijini Dodoma kuchukua fomu ya kuomba wa kugombea Urais katika uchaguzi wa mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments