TANGAZA NASI

header ads

NCCR-Mageuzi wampitisha Yeremia Kulwa Maganja kuwa mgombea wao wa Urais 2020

 

Mkutano Mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi leo Agosti 7, 2020, umempitisha Yeremia Kulwa Maganja kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupata kura 231 kati ya kura 258.

#NjombePressUpdates

Post a Comment

0 Comments