TANGAZA NASI

header ads

JPM amteua Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro.


Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli amemteua Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro akichukua nafasi ya Regina Chonjo ambaye amestaafu.
Aidha, amemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi, Edward Balele kuwa mkuu wa Wilaya ya Monduli kuchukua nafasi ya Idd Kimanta aliyeteuliwa kuwa RC Arusha.


Post a Comment

0 Comments