TANGAZA NASI

header ads

TANZANIA:Wizara ya afya yakanusha taarifa ya Malori ya mizigo kutoka Kenya kuzuiliwa






Wizara ya Afya yawataka waTanzania kupuuza taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa wizara hiyo imesema Malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kuingia nchini.

 "Hii habari ni uzushi tunaomba umma uipuuze"

Post a Comment

0 Comments