TANGAZA NASI

header ads

HABARI ZA HIVI PUNDE:Katibu wa ACT Wazalendo Mara atimkia NCCR Mageuzi


Katibu wa ACT Wazalendo mkoa wa Mara Robert Maguru na wengine wawili akiwemo katibu wa Ngome ya wanawake ACT mkoani humo Pendo Kuboja wamekihama chama hicho na kujiunga na NCCR Mageuzi.



Post a Comment

0 Comments