Wizara ya Afya Uganda imesema wagonjwa wengine wapya wawili wa corona
wameongezeka na wote ni Madereva wa Malori kutoka Tanzania na kufanya
idadi ya visa kufikia 63 Uganda,
Raia wa Uganda wameanza kuishinikiza Serikali yao kutoruhusu Malori
kuingia nchini humo wakidai Madereva wanaongeza idadi ya visa vipya.
0 Comments