Mkuu wa Jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro ameagiza kuchukuliwa hatua kali za kisheria baadhi ya watu wanaotumia mitandao kwa nia yao ovu ya kupotosha kuhusu ugonjwa wa Corona
“Watu wa mitandao ni sumu sana…hasa wanapoitumia vibaya…maelekezo kwa makamanda hawa ni kuhakikisha kwamba akijitokeza mtu mmoja au kikundi cha watu wakafanya haya wanayoyafanya kwa ajili ya kuwaletea watanzania hofu…tuwashughulikie vizuri sana…” Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro.
0 Comments