TANGAZA NASI

header ads

Aslay atamani kupata watoto 20



 Msanii wa muziki Bongo, Aslay amedai iwapo atafikisha watoto 20, basi ataweza kutulia.
 Amesema hayo jana kwenye kipindi cha Homa kinachoruka TV E Tanzania ambapo Host wa show hiyo, Sebo alimuuliza swali kutoka kwa mtamazaji lilotaka kujua hadi sasa ana watoto wangapi.

Aslay alijibu kwamba ana watoto wawili lakini anatarajia kuongeza wakifika kama 20 atatulia.
Katika hatua nyingine, Aslay alisema katika umri wake sio mnywaji sana wa pombe,

“Mimi nina miaka 25, pombe imekatazwa kwa wenye miaka chini ya 18. Sometimes napata vitu, ila sasa sio viiiiiiileeee (yani iiiileee)”.

credit:Bongoswaggz

Post a Comment

0 Comments