TANGAZA NASI

header ads

TRA:Wageni watakaofika ofisini kuvaa Barakoa


Mamlaka ya mapato Tanzania TRA limetangaza kuanzia jumatatu ya April 20,2020 wateja na wageni wote watakao fika katika ofisi za mamlaka hiyo watalazimika kuvaa Barakoa ili wapate ruhusa ya kuingia katika ofisi za shirika,ili kuendelea kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)



Post a Comment

0 Comments