TANGAZA NASI

header ads

TANESCO:Wageni watakaofika ofisini kuvaa Barakoa


Shirika la umeme Tanzania TANESCO,limetangaza kuanzia jumatatu ya April 20,2020 wateja na wageni wote watakao fika katika ofisi za shirika hilo watalazimika kuvaa Barakoa ili wapate ruhusa ya kuingia katika ofisi za shirika,ili kuendelea kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)




Post a Comment

0 Comments