TANGAZA NASI

header ads

Covid-19:Zanzibar waongezeka wagonjwa 23 wapya,wawili wafariki nyumbani



Wizara ya afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 23 wa Corona na kufikia idadi ya wagonjwa 58 kutoka wagonjwa 35 ambao walitolewa taarifa tarehe 17 Aprili 2020.




Post a Comment

0 Comments