Mtangazaji wa kipindi cha ala za Roho kinachoruka Clouds FM, Diva amevunja ukimya kuhusu tetesi za yeye kufukuzwa kazi kwenye kituo hicho.F
Siku kadhaa zilizopita Diva aliteka mazungumzo mtandaoni mara baada ya kuibuka na madai kuwa amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Msanii Alikiba.
“To make along story short, Im stil at Clouds FM!, And Thankful for the real ones in my life,” ameandika Diva kwenye ukurasa wake wa Intagram.
Licha ya kuwa Mtangazaji wa Redio, pia Diva ni msanii wa Bongo Fleva na ameweza kufanya kazi wasanii wakubwa kama Ommy Dimpoz, Mwana FA na Diamond Platnumz.
@bongoswaggz
0 Comments