TANGAZA NASI

header ads

Rais Magufuli afanya uteuzi huu leo



Rais John Pombe Magufuli amemteua Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa katibu Mkuu wizara ya Afya kuchukua nafasi ya Dkt. Zainab Chaula kuwa katibu Mkuu wa Mawasiliano wakati huo huo amemteua Prof. Abel Makubi kuwa mganga Mkuu wa Serikali.


Post a Comment

0 Comments