Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ametangaza kuwa atakihama Chama cha
Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi
mara atakapomaliza muda wake wa ubunge.Selasini ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma.
0 Comments