Wakili Msomi Gaudiosus Ishengoma amefariki Dunia usiku wa kuamkia
leojumanne april28 katika hospital ya Aga Khan jijini Dar es Salaam
alipokuwa akipatiwa matibabu kutokana na kusumbuliwa na tatizo la
kupumua..
Enzi za uhai wake Ishengoma alikuwa Wakili maarufu nchini kwa kusimamia kesi mbalimbali.
0 Comments