TANGAZA NASI

header ads

Covid-19:Wagonjwa wapya 29 sasa Tanzania visa vyafika 88


Wizara ya afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini.Hadi sasa Tanzania idadi ya wagonjwa imefikia 88 na wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalam afya.



Post a Comment

0 Comments