TANGAZA NASI

header ads

Manyara:Shabiki wa Simba kahamia Yanga kutokana na kuvutiwa nayo

 


Kutoka Manyara


Shabiki wa Simba SC mjini Babati Erick Matoi amehama Club ya Simba na kuamua kuishabikia Club ya Yanga kwa madai kwamba anavutiwa nayo.


Katibu wa tawi la Yanga mkoa wa Manyara Kenneth Makotha amemkabidhi shabiki huyo jezi ya Yanga yenye nembo ya GSM wadhamini wakuu wa timu hiyo.


Mbali na hayo kuelekea Katika mchezo wa Derby ya Kariakoo Simba dhidi ya Yanga jumamosi Me 8,2021 Uongozi wa Yanga Babati umesema wanachama na wapenzi wake watakaofika kutazama mchezo huo katika ofisi za tawi, hawatalipia gharama yoyote.

Post a Comment

0 Comments