TANGAZA NASI

header ads

Rais Samia amtumbua Mkurugenzi wa bandari, aagiza achunguzwe



 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini TPA Mhandisi Deusdedit Kakoko, kupisha uchunguzi wa ubadhirifu wa fedha bandarini.

Post a Comment

0 Comments