TANGAZA NASI

header ads

ORODHA YA WACHEZAJI WA SIMBA WALIOANZA MAZOEZI KUWAVUTIA KASI AS VITA

 


KIKOSI cha Simba jana Machi 29 kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya AS Vita ya DR Congo.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 3, Uwanja wa Mkapa.

Wachezaji walioanza mazoezi ni wale ambao hawakuwa kwenye majukumu ya timu ya zao za taifa na Kocha Mkuu, Didier Gomes aliwaunganisha na wale wa Simba B kufanya mazoezi.

Gomes amesema kuwa anaamini vijana hao wamefurahi kwa kuwa walikuwa wakionyesha moyo wa upambanaji, hii hapa orodha ya wachezaji ambao wameanza mazoezi:-

Bernard Morrison.

 Chris Mugalu.

Said Ndemla.

Gadiel Michael.

Ibrahim Ajibu.


Francis Kahata.


Ibrahim Ame.


David Kameta.


Beno Kakolanya.


Ally Salim.


Miraj Athuman.


Pascal Wawa.


Post a Comment

0 Comments