Na Amiri Kilagalila,Njombe
Kocha Mkuu mpya wa Azam FC , George Lwandamina, ameshatua mkoani Mwanza, kuungana na kikosi cha timu hii kinachojiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Gwambina.
Lwandamina ametua akitokea Dar es Salaam, akiwa sambamba na Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat' na Makamu Mwenyekiti, Omary Kuwe.
0 Comments