TANGAZA NASI

header ads

Watu 57 wafariki katika mafuriko nchini Pakistani

 

Watu  wasiopungua 57 wamefariki kutokana na mafuriko yaliotokea nchini Pakistani.


Nchini Pkaistani , mvua kali ambazo zimenyesha tangu siku tatu zilizopita, watu  57 wameripotiwa kufariki.

Mvua hizo kali zimepelekea mfuriko ncchini humo na kusababisha mafuriko.

Mvua kali nchini Pakistani zimenyesha kwa zaidi ya   siku 3.

Taarifa kuhusu janga hilo zimefahamisha  kwamba watu  19 wamefariki katika jimbo la Khaybar Pahtunhwa Kaskazini-Mashariki mwa Pakistani, watu 12 wamefariki katika eneo mabalo linajulikana  kwa jina la Sindh, watu wanane wanefariki katika jimbo la Penjab na wengine 10 katika eneo la Gigit- Baltistan.

Kulingana na taarifa zilkiztolewa na vyombo vya habari nchini Paksiatani, watu wengine wanane wamefariki katika eneo linalojulikana kwa jina la Baluchistan.

Mvua hiyo ya iliopelekea mafuriko imesababisha ma majumba kadhaa kuporomoka na kuacha harsa kubwa.

Post a Comment

0 Comments