TANGAZA NASI

header ads

Takukuru Manyara yaendelea kuwafuta machozi Wanyonge


Na John Walter-Mbulu

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Mbulu mkoani Manyara,  imefanikiwa kurejesha kiasi cha fedha shilingi  2,

026,000 kwa wananchi wa Kijiji cha Hareabi kata ya Kainam fedha ambazo zilifanyiwa ubadhirifu na aliyekuwa mwenyekiti wa kitongoji cha Haypakar. 

Mkuu wa Takukuru wilayani  Mbulu Bibiana Bundala, amesema  Fedha hizo  zilichangwa na wananchi kwa ajili ya kutekeleza ujenzi wa nyumba ya Mwalimu katika shule ya msingi Kainam.

Makabidhiano ya fedha hizo yamefanyika mbele ya mkutano Mkuu wa kijiji kama inavyoonekana ktk picha.

Post a Comment

0 Comments