TANGAZA NASI

header ads

NEC yamteua Yeremia Kulwa Maganj,Mgombea wa Urais kupitia NCCR

 

MAGANJA ATEULIWA NA NEC

Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Yeremia Kulwa Maganja, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Haji Ambar kuwa Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi.

Post a Comment

0 Comments