Lazaro Nyalandu ashinda kura za maoni Singida Kaskazini
-Kura zilizopigwa 229. - Kura halali 228. - Kura zilizoharibika 1. MATOKEO: David Jumbe amepata kura 31. (13.53%) Lazaro Nyalandu amepata kura 197 (86.02%).“Matokeo ya kura za maoni Singida Kaskazini, Kura zilizopigwa 229, kura halali 228, kura iliyoharibika 1, David Jumbe amepata kura 31 (13.53%) na Lazaro Nyalandu amepata kura 197 (86.02%), TUSONGE MBELE” -
0 Comments