TANGAZA NASI

header ads

John Shibuda ateuliwa na NEC kugombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ADA-TADEA

 

 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua John Shibuda kugombea Urais wa Tanzania na mgombea mwenza, Hassan Kijogoo kugombea nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania kupitia Chama cha ADA-TADEA

Post a Comment

0 Comments