TANGAZA NASI

header ads

Watu 11 wakutwa na maambukizi ya virusi vya COVID- 19 Kenya,visa vyafika 281


Waziri wa Afya Mutahi Kagwe ametangaza kuwa watu wengine 11 wamepatikana na virusi vya COVI- 19 na kufanya jumla ya walioambukizwa kufika 281

Kati ya wagonjwa hao 11, saba saba wako Mombasa huku Wanne ni kutoka mtaa wa Ruaka jijini Nairobi.


Post a Comment

0 Comments