TANGAZA NASI

header ads

Visa vya Covid-19 Zanzibar vyaongezeka na kufikia 18


Wizara ya afya Zanzibar imetangaza ongezeko la visa vingine 6 vya maambukizi ya virusi vya Covid-19 na kufikia idadi ya wagonjwa 18 kutoka 12 waliokuwa awali.



Post a Comment

0 Comments