Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto kwa kushirikiana na viongozi wa madhehebu ya dini nchini, imeandaa maombi maalum ya Kitaifa ili Mungu aliponye na janga la Corona.
Maombi hayo yatafanyika Jumatano Aprili 22,2020 viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
0 Comments