TANGAZA NASI

header ads

Rwanda yapata ongezeko la visa 7 vya Covid-19



Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza ongezeko la visa 7 vya maambukizi ya virusi vya Corona,baada ya vipimo kutoka sampuli 983 na kufikia watu 134 wenye maambukizi ya virusi hivyo na 49 wamepona.

Post a Comment

0 Comments