Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akipita katika mashine maalum ya kunyunyuzia yenye dawa ya kujikinga na ugonjwa wa Corona wakati alipoingia kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments