TANGAZA NASI

header ads

PICHA: Muonekano Mpya wa Msanii Chidi Benzi



Mkongwe kwenye game ya Bongofleva Chidi Benzi ametuonesha muonekano wake mpya ambao ameonesha ku-shine tofauti na kipindi cha nyuma.

Chidi Benzi amepost picha kupitia page yake ya Instagram zikiambatana na maneno haya...>>>”Kila siku ni siku nasisitiza. Unaweza kuwa vyovyote ukiweza. Na ukafanya yoote Unayoweza. Badilika ili ubadilishe unachowaonesha”

”Unachoamini Amini. Kwa sababu inatakiwa na unakiona. Wenzio wapo hawaoni na wanaamini,kwahio wewe ndio Zidisha. Mpaka mwisho. Kukimbia ni lazima ila pia tembea ukishindwa. usikae, SIJASEMA KUKAA IMO” Chidi Benzi

Post a Comment

0 Comments