TANGAZA NASI

header ads

Diva wa Clouds atema nyongo kwa wasio jua uhusiano wake na msanii Alikiba



Baada ya stori nyingi kusambaa kuwa wasanii wa Alikiba ambao ni Killy pamoja na Cheed kuondoka katika lebo hiyo ambayo ipo chini ya Alikiba na baada ya muda zilianza kusambaa stori kuwa mtangazaji wa Clouds fm Diva ndio chanzo cha wasanii hao kuondoka.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost ujumbe mrefu sana ukiambatana na picha ya Alikiba akiandika maneno haya.


“Me and Ally we came along way since his return in the music world and yes both as friends n lowkey lovers kwa muda mrefu saaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa .. i have evidence to Prove ndio @officialkilly_tz alikuwa ananiita mama na wengine wote ..since ninaona sasa story za ajabu zinazid maybe shuld be open so we end this drama ambayo mnatengeneza .. everyone huko tabata knows .. iv bin in tabata preny .. but with respect sijawahi ata onyesha anything … so this is more like drama za mahusiano and someone is truely hurt … sababu tu a woman make a decision to move on .. si sawa at all , everyone has a right to move on , and im sorry i hurt yo feelings but it is what it is … niliamua kuji distance kwa sababu zangu and take a break sababu zangu as well .. ndio maana huwa sifuti messages na evidence sababu ya vitu ka hizi .. by the way neither killy nor cheed is joining anywhere apo pia ntapaelezea ….by the way i end up kila kitu 16/2/2020 mwenyewe and i told Ali and i have evidence as well .. hakuna ugomvi or anything i end up everything peacefully, jus a woman ameamua to ku move on na maisha yake n fade up with on and off, so sielewi why natukanwa matusi kibao, i always love and respect him and his talent but have a life to live si kupost kila siku mambo or kuwa a puppet hell no i refuse … i want peace thats all and i have it all .. i just don’t like bully sababu no one knows anything zaid ya mimi na muhusika, so tuheshimiane … i respect him and wish him the best but nime move on na yeye pia na wengine naomba m move on .. vitu vinaisha maisha yanaendela no need ya drama or create vitu this is not healthy at all, everyone has a brand to protect, Sijalala, i did everything to protect him, nilisimama nae kwa everything nahisi yal need to put respect on my name ..hakuna mwanamke aliewahi simama nae vile , nimegombana na watu nimetukanwa or get all the bully for him, nahisi tema i deserve shukran sana maana mepambana kuliko mtu yoyote yule ..nimepitia mengi nyuma ya pazia but i was there for him, he was my ride or die ..but imetosha …naona sasa this is too much and sad part is … wanaofanya all this ni watu wanaojua a to z on what’s goin on .. si sawa!"


Post a Comment

0 Comments