TANGAZA NASI

header ads

Tusijielekeze kuwa makosa ni kitega uchumi, tudhibiti zaidi- Rais Samia



“Polisi mmesema kuna upungufu wa makosa na pesa zimepungua kutokana na upungufu wa makosa, sasa tusijielekeze kuwa makosa ni kitega uchumi, tudhibiti zaidi, tusitumie sheria kama vitega uchumi”———Rais Samia

“Kuhusu ujambazi kuna wanaojaribu kina cha maji kwa kutaka kurejesha vitendo vya ujambazi,nampongeza IGP baada ya kauli yangu pale Mlimani City alikutana na Maafisa wa Polisi kuweka mikakati,nasikia vitaarifa hawa Watu wanaendelea kubonyeza naomba muwe wagumu wanapobonyeza pasibonyee Rais Samia

Post a Comment

0 Comments