Waziri kiongozi mstaafu wa Zanzibar ambaye alihudumu kuanzia mwaka 2000 – 2010, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM mapema leo asubuhi katika ofisi kuu ya CCM
Shamsi vuai Nahonda amekuwa mgombea wa mwanzo siku ya leo kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais katika ofisi za CCM Kisiwandui,Zanzibar na kufanya idadi ya wagombea 6 hadi sasa waliochukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.
0 Comments