TANGAZA NASI

header ads

Magufuli apiga Marufuku Suma JKT kuwarusha kichura wananchi


Rais wa Jamhuri ya Muungano was Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli kwa njia ya simu ya mkononi kupitia Clouds TV amepiga marufuku walinzi kutoka Suma JKT kuwarusha vichura wananchi.

Magufuli amechukuwa uamzi huo baada ya kuskia malalamiko ya wananchi.

“Suma JKT wasiwarushe kichura wananchi stendi ya Nanenane Dodoma. Sitaki nione watu wangu wanarushwa kichura kwenye nchi iliyo huru” - JPM
#LiveOnClouds360

Pia amesema

“Wafanyabiashara wadogo waruhusiwe kushiriki kufanya biashara stendi ya Dodoma. Hiyo stendi imejengwa kwa ajili ya Watanzania wa maisha yote, waruhusiwe kujitafutia riziki” - JPM #LiveOnClouds360

Post a Comment

0 Comments