TANGAZA NASI

header ads

Mgombea mwingine wa 7 achukua fomu ya Urais wa Zanzibar


PICHA

Mgombea mwingine Mohammed Jafar Jumanne amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapindizi (CCM) katika ofisi za chama hicho zilizopo Kisiwandui Zanzibar na kufikia Idadi ya watia nia kufika 7 mpaka sasa.




Post a Comment

0 Comments