TANGAZA NASI

header ads

Sheria ya PF3 iangaliwe upya, mtu apate huduma kwanza- Rais Samia



 “Wanaopata ajali wanaumia kwa viwango tofauti tofauti, lakini sheria yetu ni kwamba mpaka apate PF3, watu wanafia hospitali hivyo niombe sana hii sheria muiangalie, mtu anapofika hospitali apate kwanza huduma kisha mambo mengine ya kipolisi yaendelee, tunapoteza watu wengi kwa sababu ya kipengele kidogo cha PF3,” - Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha Ushonaji Cha Jeshi la Polisi.

Post a Comment

0 Comments