Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imepanga kutumia zaidi ya Sh57.92 bilioni kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa nyumba na ofisi za wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na makatibu tawala.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu alipokuwa akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2021/22.
0 Comments