Rais Samia ameliambia Bunge kuwa anapanga kukutana na viongozi wa kisiasa "ili kwa pamoja tuweke msimamo wa kuendesha shughuli za kisiasa."
Kiongozi huyo amesema hayo wakati akitaja namna anavyopanga kuboresha mazingira ya uhuru na demokrasia nchini Tanzania.
" Nakusudia kukutana na viongozi wa kisiasa wa Tanzania, ili kwa pamoja tuweke msimamo wa kuendesha shughuli za kisiasa" Suluhu Hassan Rais wa Tanzania
Nakusudia kukutana na viongozi wa kisiasa wa Tanzania, ili kwa pamoja tuweke msimamo wa kuendesha shughuli za kisiasa.
0 Comments