Umoja wa Mataifa umesema Bendera ya Umoja wa Mataifa itapepea nusu mlingoti Makao Makuu ya Umoja huo New York Ijumaa March 26 kumuenzi Hayati Dr. John Pombe Magufuli, Ofisi ya Itifaki imesema Ofisi zote za UN duniani zimehimizwa kufanya hivyo pia.

0 Comments