Na Amiri Kilagalila,Njombe
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mwalimu Lydia Bupilipili ameongoza wananchi na waumimi wa Dini mbalimbali wilayani humo kumuombe hayati Dkt John Magufuli na Rais wa Sita Mama Samia Suluhu Hassani katika utelekezaji wake wa Majukumu.
"Niwatoe hofu wananchi wa Bunda wangazi Zote mama ntilie, Machinga na wafanya Biashara hakuna atakaye wabughudhi kabisa kabisa yale yote yaliyokuwa yanafanyika kipindi cha uhai hayati yataendelea Dkt Magufuli yataendelea kufanyika Ofisi za Umma Bunda nawahakikishia"amesema Lydia Bupilipili DC Bunda.
Naye katibu wa Chama cha Mapinduzi Bunda Ramadhani Ndoro amesema
"Mama Ntilie Msihofu, vijana Msihofu na sekta nyingine tunaye Jemedari aliyechukua nchi nimfaasi mkubwa na aliyefanya kazi na Dkt John Magufuli hakuna kitakachoharibika sisi Kama chama nikuendelea kuisimamia serikali natunaimani haiwezi kuteteleka chini ya Mama samia tumuombeeni"Amesema Ramadhani Ndaro
0 Comments