Rais wa Jamhuri ya Tanzania Muungano wa Samia Suluhu Hassan amewasili mji mkuuwa Dodoma kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kuwa rais, kuongoza shughuli ya kuaga mwili wa Dkt John Pombe Magufuli.
Amelakiwa katika uwanja wa ndege wa Dodoma na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wengine waandamizi wa serikali.
Rais Samia anasubiri kuwasili kwa mwili wa Hayati Dkt John Magufuli kabla ya kuelekea Ikulu ya Chamwino.
0 Comments