TANGAZA NASI

header ads

Ni kweli sote tumeumia, tumeyabeba mauvimu tusiogope- Spika Ndugai



 Ni kweli sote tumeumia, tumeyabeba mauvimu mazito ya jeraha zito la kuondokewa na shujaa wetu Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli lakini tunayo nafasi ya kuwa imara tena. Kwa niaba ya Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Spika Job Ndugai anasimama na Watanzania wote kwenye matumaini mapya "TUSIOGOPE"

Post a Comment

0 Comments